β½ TODAY'S MATCHES FIXTURES & LIVESTREAMS
π’Tazama mechi za leo live kupitia simu yako bure kabisa popote ulipo
ππ»
https://channelsstore.blogspot.com/search/label/Todays%20Matches
CC SmartArts

CHANNELS STORE
Chelsea Vs Crystal Palace | https://channelsstore.blogspot.com/2023/12/chelsea-vs-crystal-palace.html
β½ TODAY'S MATCHES FIXTURES & LIVESTREAMS
π’Tazama mechi za leo live kupitia simu yako bure kabisa popote ulipo
ππ»
https://channelsstore.blogspot.com/search/label/Todays%20Matches/2023

https://channelsstore.blogspot.com/search
πUngana nasi whatsapp hapa ππ»
https://chat.whatsapp.com/KmBJOOJnt9EHEvX5h05os7

*MASOMO YA MISA, IJUMAA, FEBRUARI 16, 2024*
*IJUMAA BAADA YA MAJIVU*
SOMO 1
Isa. 58:1-9
Bwana Mungu asema hivi: Piga kelele, usiache paza sauti yako kama tarumbeta; uwahubiri watu wangu kosa lao, na nyumba ya Yakobo dhambi zao.
Walakini wakinitafuta kila siku; hupenda kujua njia zangu; kama vile taifa waliotenda haki, wasioacha sheria ya Mungu wao, hutaka kwangu amri za haki; hufurahi kumkaribia Mungu. Husema, Mbona tumefunga, lakini huoni? Mbona tumejitaabisha nafsi zetu, lakini huangalii? Fahamuni, siku ya kufunga kwenu mnatafuta anasa zenu wenyewe, na kuwalemea wote watendao kazi kwenu.
Tazama, ninyi mwafunga mpate kushindana na kugombana, na kupiga kwa ngumi ya uvou. Hamfungi siku hii ya leo hata kuiskizisha sauti yenu juu. Je! Kufunga namna hii ni saumu niliyoichagua mimi? Je! Si siku ya mtu kujitaabisha nafsi yake? Ni kuinama kichwa kama unyasi, na kutanda nguo za magunia na majivu chini yake?
Je! Utasema ni siku ya kufunga, na ya kukubaliwa na Bwana. Je! Saumu niliyoichagua, siyo ya namna hii? Kufungua vifungo vya uovu, kuzilegeza kamba za nira, kuwaacha huru walioonewa, na kwamba mvunje kila nira? Je! Siyo kuwagawia wenye njaa chakula chako, na kuwaleta maskini waliotupwa nje nyumbani kwako? Umwonapo mtu aliye uchi, umvike nguo; wala usijifiche na mtu mwenye damu moja nawe?
Ndipo nuru yako itakapopambazuka kama asubuhi, na afya ayko itatokea mara; na haki yako itakutangulia; utukufu wa Bwana utakufuata nyuma ukulinde. Ndipo utaita, na Bwana ataitika; atalia, naye atasema, Mimi hapa.
Neno la Bwana⦠Tumshukuru Mungu.
WIMBO WA KATIKATI
Zab. 51:3-4, 5-6a, 18-19 (K) 17
(K) Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutadharau.
Maana nimejua mimi makosa yangu,
Na dhambi yangu I mbele yangu daima.
Nimekutenda dhambi Wewe peke yako.
Na kufanya maovu mbele za macho yako. (K)
Tazama, mimi naliumbwa katika hali ya uovu;
Mama yangu alinichukua mimba hatiani.
Tazama, wapendezwa na kweli iliyo moyoni;
Nawe utanijulisha hekima kwa siri. (K)
Uitendee mema Sayuni kwa radhi yako,
Uzijenge kuta za Yerusalemu.
Ndipo utakapopendezwa na dhabihu za haki;
Na sadaka za kuteketezwa, na kafara. (K)
SHANGILIO
Ez. 18:31
Tupilieni mbali nanyi makosa yenu yote mliyoyakosa; Jifanyieni moyo mpya na roho mpya.
INJILI
Mt. 9:14:15
Siku ile: Yesu alipofika ngβambo, katika nchi ya Wagerasi, wanafunzi wake Yohane wakamwendea, wakasema, Kwa nini sisi na Mafarisayo twafunga, bali wanafunzi wako hawafungi? Yesu akawaambia, Walioalikwa arusini wawezaje kuomboleza, muda bwana arusi akiwapo pamoja nao? Lakini siku zitakuja watakapoondolewa bwana arusi; ndipo watakapofunga.
Neno la Bwana⦠Sifa kwako Ee Kristo.
https://whatsapp.com/channel/0029Va9CVfSJ3jv2m4V0zB2R

WhatsApp.com
Nyimbo Katoliki | WhatsApp Channel
Nyimbo Katoliki WhatsApp Channel. Karibuni tupate nyimbo mpya za kikatoliki nyimbo nyingine zinapatikana pia katika tovuti yetu katika link hapa chini
https://nyimbokatolik.blogspot.com/?m=1. 79 followers

*MASOMO YA MISA*
*JUMATANO,JUMA LA 2 LA KWARESIMA*
https://whatsapp.com/channel/0029Va9CVfSJ3jv2m4V0zB2R
SOMO 1
Yer. 18-18-20
Waliposema, Njoni na tufanye mashauri juu ya Yeremia; maana sheria haitampotea kuhani, wala shauri halitampotea mwenye hekima, wala neno halitampotea nabii. Njoni, na tumpige kwa ndimi zetu, wala tusiyaangalie maneno yake yoyote.
Niangalie, Ee Bwana, ukasikilize sauti ya wanaoshindana nami. Je! Mabaya yalipwe badala ya mema? Maana wameichimbia nafsi yangu shimo. Kumbuka jinsi nilivyosimama mbele zako, ili nisema mema kwa ajili yao, nikaigeuze ghadhabu yako isiwapate.
Neno la Bwana⦠Tumshukuru Mungu.
WIMBO WA KATIKATI
Zab. 31:4-5, 13-15 (K) 16
(K) Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako, Ee Bwana.
Utanitoa katika wavu walionitegea kwa siri,
Maana Wewe ndiwe ngome yangu.
Mikononi mwako naiweka roho yangu;
Umenikomboa, Ee Bwana, Mungu wa kweli. (K)
Maana nimesikia masingizio ya wengi;
Hofu ziko pande zote.
Waliposhauriana juu yangu,
Walifanya hila wauondoe uhai wangu. (K)
Lakini mimi nakutumaini Wewe, Bwana,
Nimesema, Wewe ndiwe Mungu wangu.
Nyakati zangu zimo mikononi mwako;
Uniponye na adui zangu, nao wanaonifuatia. (K)
SHANGILIO
Lk. 8:15
Heri wale walishikao neno la Mungu katika moyo wao mwema na unyofu, na wazaao matunda katika uvumilivu.
INJILI
Mt. 20:17-28
Yesu alipokuwa akipanda kwenda Yerusalemu aliwachukua wale wanafunzi kumi na wawili faraghani; na njiani akawaambia, Angalieni, tunapanda kwenda Yerusalemu; na Mwana wa Adamu atatiwa mikononi mwa wakuu wa makuhani na waandishi nao watamhukumu afe; kisha watampeleka kwa Mataifa wapate kumdhihaki, na kumpiga mijeledi na kumsulibisha; na siku ya tatu atafufuka.
Ndipo mama yao wana wa Zebedayo akamwendea pamoja na wanawe, akamsujudia, na kumwomba neno. Akamwambia, Wataka nini? Akamwambia, agiza kwamba hawa wanangu wawili waketi mmoja mkono wako wa kuume, na mmoja mkono wako wa kushoto, katika ufalme wako. Yesu akajibu akasema, Hamjui mnaloliomba. Je! Mwaweza kunywea kikombe nitakachonywea mimi? Wakamwambia, Twaweza. Akawaambia, Hakika mtakinywa kikombe change; lakini kuketi mkono wangu wa kuume na mkono wangu wa kushoto, sina amri kuwapa, bali watapewa waliowekewa tayari na Baba yangu.
Na wale kumi waliposikia, waliwakasirikia wale ndugu wawili. Lakini Yesu akawaita, akasema, Mwajua ya kuwa wakuu wa Mataifa huwatawala kwa nguvu, na wakubwa wao huwatumikisha. Lakini haitakuwa hivyo kwenu; bali mtu yeyote anayetaka kuwa mkubwa kwenu, na awe mtumishi wenu; na mtu yeyote anayetaka kuwa wa kwanza kwenu na awe mtumwa wenu; kama vile Mwana wa Adamu asivyokuja kutumikiwa, bali kutumikia na kutoa nafsi yake iwe fidia ya wengi.
Neno la Bwana⦠Sifa kwako Ee Kristo.
[3/7/2023, 23:06] Mathew Maria: *βKWARESIMA YA UKARIMUβ*
*Tafakari ya Kwaresima*
*Jumatano, Machi 8, 2023*
*Juma la 2 la Kwaresima*
Yer 18:18-20;
Zab 31:5-6,14-16;
Mt 20:17-28.
*JE, TWAWEZA KUKINYWEA KIKOMBE CHA YESU?*
Ni rahisi kuwa na nia nzuri, lakini hiyo inatosha? Mama mpendwa anamwambia Yesu aagize kwamba wanawe, mmoja aketi upande wake wa kulia na mwingine upande wa kushoto katika Ufalme wake. Lakini, ni vizuri kutambua kwamba hakujua alichokuwa akiomba. Yesu alikuwa akienda Yerusalemu sehemu ambayo atapata utukufu wake kwa njia ya mateso msalabani. Ni katika hali hii Yesu anawauliza Yakobo na Yohane kama wanaweza kunywea kikombe hiki. Walikuwa wamealikwa na Yesu kutolea maisha yao kwa sadaka kwa ajili ya upendo kwa wengine. Walipaswa kuacha woga wote na kusema βNDIOβ kwa misalaba yao wakati wakumtumikia Kristo na utume wake.
Kumfuata Yesu sio kitu ambacho tunapaswa kufuata nusu nusu. Kama tunataka kuwa wafuasi wa kweli wa Yesu, tunapaswa kukinywea kikombe cha damu yake takatifu ndani kabisa katika mioyo yetu na kujazwa na zawadi ili tuweze kujitoa wenyewe hata kufikia kiwango cha kujitoa kabisa sadaka. Tunapaswa kuwa tayari kutokuwa na kitu au kushikilia vitu, hata kama ikiwa ni sadaka kubwa. Tunaitwa wote kuwa wafiadini wa kiroho.

Hii ina maana kwamba tunapaswa kujikabidhi wenyewe kwa Kristo na mapenzi yake na hii ina maana kwamba tutakuwa tumekufa wenyewe kutoka katika ubinafsi wetu.
βJe, twaweza kukinywea kikombe ambacho Yesu alikinywea?β je, upendo wako kwa Mungu na jirani waweza kuwa mkamilifu kiasi kwamba unakuwa mfiadini katika maana halisi ya neno lenyewe? Jitambue na sema βNdioβ na kunywa katika kikombe cha damu yake Takatifu na kila siku toa maisha yako kwa sadaka kamili. Unastahili na unaweza!
Sala: Bwana, ninaomba upendo wangu kwako na kwa wengine uongezeke kiasi kwamba sishikilii kitu kingine nyuma yangu. Ninakuomba zawadi ya damu yako Takatifu iwe nguvu katika safari hii ili niweze kuiga sadaka yako kamili ya upendo. Yesu nakumini wewe. Amina
https://whatsapp.com/channel/0029Va9CVfSJ3jv2m4V0zB2R/287
βJe, twaweza kukinywea kikombe ambacho Yesu alikinywea?β je, upendo wako kwa Mungu na jirani waweza kuwa mkamilifu kiasi kwamba unakuwa mfiadini katika maana halisi ya neno lenyewe? Jitambue na sema βNdioβ na kunywa katika kikombe cha damu yake Takatifu na kila siku toa maisha yako kwa sadaka kamili. Unastahili na unaweza!
Sala: Bwana, ninaomba upendo wangu kwako na kwa wengine uongezeke kiasi kwamba sishikilii kitu kingine nyuma yangu. Ninakuomba zawadi ya damu yako Takatifu iwe nguvu katika safari hii ili niweze kuiga sadaka yako kamili ya upendo. Yesu nakumini wewe. Amina
https://whatsapp.com/channel/0029Va9CVfSJ3jv2m4V0zB2R/287
WhatsApp.com
Nyimbo Katoliki | WhatsApp Channel
Nyimbo Katoliki WhatsApp Channel. Karibuni tupate nyimbo mpya za kikatoliki nyimbo nyingine zinapatikana pia katika tovuti yetu katika link hapa chini
https://nyimbokatolik.blogspot.com/?m=1. 79 followers
https://nyimbokatolik.blogspot.com/?m=1. 79 followers
β½ TODAY'S MATCHES FIXTURES & LIVESTREAMS
π’Tazama mechi za leo live kupitia simu yako bure kabisa popote ulipo
ππ»
https://channelsstore.blogspot.com/search
πUngana nasi whatsapp hapa ππ»
https://chat.whatsapp.com/KmBJOOJnt9EHEvX5h05os7
π’Tazama mechi za leo live kupitia simu yako bure kabisa popote ulipo
ππ»
https://channelsstore.blogspot.com/search
πUngana nasi whatsapp hapa ππ»
https://chat.whatsapp.com/KmBJOOJnt9EHEvX5h05os7
CHANNELS STORE
π₯TAMTHILIA SWAHILI ZA AZAM NA DSTV KILA SIKU
Karibu katika group letu ujipatie tamthilia zote oamoja na miendelezo yake kila siku kupitia whatsapp, jiunge nasi hapa
ππ»
https://chat.whatsapp.com/FHZcWZbSNfAAT2wcRpteyE

TAMTHILIA SWAHILI AZAM & DSTV
WhatsApp Group Invite

Huu hapa ndio msimamo wa ligi kuu Baada ya watu kuombewa na kupokea upako
ππ»
Streams zote michezo ya Ulaya utazikuta hapa
https://bit.ly/msimamoligikuu
ππ»
Streams zote michezo ya Ulaya utazikuta hapa
https://bit.ly/msimamoligikuu
CHANNELS STORE
Tanzania NBC Premier League || Msimamo wa Ligi Tanzania Bara Leo | NBC PREMIER LEAGUE TANZANIA
>>>Smart Tables
MASOMO YA MISA, JANUARI 14, 2025 JUMANNE, JUMA LA 1 LA MWAKA | https://nyimbokatolik.blogspot.com/2025/01/masomo-ya-misa-januari-14-2025-jumanne.html
NYIMBO KATOLIKI
MASOMO YA MISA, JANUARI 14, 2025 JUMANNE, JUMA LA 1 LA MWAKA
Search catholic songs here
Chemchemi za Uzima F. Shimanyi, Chuo Cha Mipango Dodoma | https://nyimbokatolik.blogspot.com/2025/01/chemchemi-za-uzima-f-shimanyi-chuo-cha.html
NYIMBO KATOLIKI
Chemchemi za Uzima F. Shimanyi, Chuo Cha Mipango Dodoma
Search catholic songs here
[16/01, 21:10] SmartArts: MASOMO YA MISA, JANUARI 17, 2025 IJUMAA, JUMA LA 1 LA MWAKA | https://nyimbokatolik.blogspot.com/2025/01/masomo-ya-misa-januari-17-2025-ijumaa.html
[16/01, 21:10] SmartArts: VIDEO || Ingekuwa heri leo Msikie sauti yake by Anastacia Muema | https://nyimbokatolik.blogspot.com/2025/01/video-ingekuwa-heri-leo-msikie-sauti.html

MASOMO YA MISA, JANUARI 17, 2025 IJUMAA, JUMA LA 1 LA MWAKA
Search catholic songs here