Upendo furaha na amani
216 subscribers
3.78K photos
1 video
3 files
958 links
Karibu ndugu na marafiki katika channel hii ya upendo furaha na amani, hii itakuwezesha kupata updates mbalimbali, simulizi pamoja na stories mbalimbali. Pakua app yetu https://play.google.com/store/apps/details?id=comtz.app.nyimbozakatoliki
Download Telegram
⚽ TODAY'S MATCHES FIXTURES & LIVESTREAMS

πŸ’’Tazama mechi za leo live kupitia simu yako bure kabisa popote ulipo
πŸ‘‡πŸ»
https://channelsstore.blogspot.com/search/label/Todays%20Matches

CC SmartArts
⚽ TODAY'S MATCHES FIXTURES & LIVESTREAMS

πŸ’’Tazama mechi za leo live kupitia simu yako bure kabisa popote ulipo
πŸ‘‡πŸ»
https://channelsstore.blogspot.com/search/label/Todays%20Matches/2023

CC SmartArts
⚽ TODAY'S MATCHES FIXTURES & LIVESTREAMS

πŸ’’Tazama mechi za leo live kupitia simu yako bure kabisa popote ulipo
πŸ‘‡πŸ»
https://channelsstore.blogspot.com/search

πŸ”—Ungana nasi whatsapp hapa πŸ‘‡πŸ»
https://chat.whatsapp.com/KmBJOOJnt9EHEvX5h05os7
⚽ TODAY'S MATCHES FIXTURES & LIVESTREAMS

πŸ’’Tazama mechi za leo live kupitia simu yako bure kabisa popote ulipo
πŸ‘‡πŸ»
https://channelsstore.blogspot.com/search

πŸ”—Ungana nasi whatsapp hapa πŸ‘‡πŸ»
https://chat.whatsapp.com/KmBJOOJnt9EHEvX5h05os7
*MASOMO YA MISA, IJUMAA, FEBRUARI 16, 2024*

*IJUMAA BAADA YA MAJIVU*


SOMO 1
Isa. 58:1-9

Bwana Mungu asema hivi: Piga kelele, usiache paza sauti yako kama tarumbeta; uwahubiri watu wangu kosa lao, na nyumba ya Yakobo dhambi zao.

Walakini wakinitafuta kila siku; hupenda kujua njia zangu; kama vile taifa waliotenda haki, wasioacha sheria ya Mungu wao, hutaka kwangu amri za haki; hufurahi kumkaribia Mungu. Husema, Mbona tumefunga, lakini huoni? Mbona tumejitaabisha nafsi zetu, lakini huangalii? Fahamuni, siku ya kufunga kwenu mnatafuta anasa zenu wenyewe, na kuwalemea wote watendao kazi kwenu.

Tazama, ninyi mwafunga mpate kushindana na kugombana, na kupiga kwa ngumi ya uvou. Hamfungi siku hii ya leo hata kuiskizisha sauti yenu juu. Je! Kufunga namna hii ni saumu niliyoichagua mimi? Je! Si siku ya mtu kujitaabisha nafsi yake? Ni kuinama kichwa kama unyasi, na kutanda nguo za magunia na majivu chini yake?

Je! Utasema ni siku ya kufunga, na ya kukubaliwa na Bwana. Je! Saumu niliyoichagua, siyo ya namna hii? Kufungua vifungo vya uovu, kuzilegeza kamba za nira, kuwaacha huru walioonewa, na kwamba mvunje kila nira? Je! Siyo kuwagawia wenye njaa chakula chako, na kuwaleta maskini waliotupwa nje nyumbani kwako? Umwonapo mtu aliye uchi, umvike nguo; wala usijifiche na mtu mwenye damu moja nawe?

Ndipo nuru yako itakapopambazuka kama asubuhi, na afya ayko itatokea mara; na haki yako itakutangulia; utukufu wa Bwana utakufuata nyuma ukulinde. Ndipo utaita, na Bwana ataitika; atalia, naye atasema, Mimi hapa.

Neno la Bwana… Tumshukuru Mungu.


WIMBO WA KATIKATI
Zab. 51:3-4, 5-6a, 18-19 (K) 17

(K) Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutadharau.

Maana nimejua mimi makosa yangu,
Na dhambi yangu I mbele yangu daima.
Nimekutenda dhambi Wewe peke yako.
Na kufanya maovu mbele za macho yako. (K)

Tazama, mimi naliumbwa katika hali ya uovu;
Mama yangu alinichukua mimba hatiani.
Tazama, wapendezwa na kweli iliyo moyoni;
Nawe utanijulisha hekima kwa siri. (K)

Uitendee mema Sayuni kwa radhi yako,
Uzijenge kuta za Yerusalemu.
Ndipo utakapopendezwa na dhabihu za haki;
Na sadaka za kuteketezwa, na kafara. (K)


SHANGILIO
Ez. 18:31
Tupilieni mbali nanyi makosa yenu yote mliyoyakosa; Jifanyieni moyo mpya na roho mpya.


INJILI
Mt. 9:14:15
Siku ile: Yesu alipofika ng’ambo, katika nchi ya Wagerasi, wanafunzi wake Yohane wakamwendea, wakasema, Kwa nini sisi na Mafarisayo twafunga, bali wanafunzi wako hawafungi? Yesu akawaambia, Walioalikwa arusini wawezaje kuomboleza, muda bwana arusi akiwapo pamoja nao? Lakini siku zitakuja watakapoondolewa bwana arusi; ndipo watakapofunga.

Neno la Bwana… Sifa kwako Ee Kristo.

https://whatsapp.com/channel/0029Va9CVfSJ3jv2m4V0zB2R
*MASOMO YA MISA*

*JUMATANO,JUMA LA 2 LA KWARESIMA*

https://whatsapp.com/channel/0029Va9CVfSJ3jv2m4V0zB2R

SOMO 1
Yer. 18-18-20

Waliposema, Njoni na tufanye mashauri juu ya Yeremia; maana sheria haitampotea kuhani, wala shauri halitampotea mwenye hekima, wala neno halitampotea nabii. Njoni, na tumpige kwa ndimi zetu, wala tusiyaangalie maneno yake yoyote.

Niangalie, Ee Bwana, ukasikilize sauti ya wanaoshindana nami. Je! Mabaya yalipwe badala ya mema? Maana wameichimbia nafsi yangu shimo. Kumbuka jinsi nilivyosimama mbele zako, ili nisema mema kwa ajili yao, nikaigeuze ghadhabu yako isiwapate.

Neno la Bwana… Tumshukuru Mungu.



WIMBO WA KATIKATI
Zab. 31:4-5, 13-15 (K) 16

(K) Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako, Ee Bwana.

Utanitoa katika wavu walionitegea kwa siri,
Maana Wewe ndiwe ngome yangu.
Mikononi mwako naiweka roho yangu;
Umenikomboa, Ee Bwana, Mungu wa kweli. (K)

Maana nimesikia masingizio ya wengi;
Hofu ziko pande zote.
Waliposhauriana juu yangu,
Walifanya hila wauondoe uhai wangu. (K)

Lakini mimi nakutumaini Wewe, Bwana,
Nimesema, Wewe ndiwe Mungu wangu.
Nyakati zangu zimo mikononi mwako;
Uniponye na adui zangu, nao wanaonifuatia. (K)



SHANGILIO
Lk. 8:15

Heri wale walishikao neno la Mungu katika moyo wao mwema na unyofu, na wazaao matunda katika uvumilivu.



INJILI
Mt. 20:17-28

Yesu alipokuwa akipanda kwenda Yerusalemu aliwachukua wale wanafunzi kumi na wawili faraghani; na njiani akawaambia, Angalieni, tunapanda kwenda Yerusalemu; na Mwana wa Adamu atatiwa mikononi mwa wakuu wa makuhani na waandishi nao watamhukumu afe; kisha watampeleka kwa Mataifa wapate kumdhihaki, na kumpiga mijeledi na kumsulibisha; na siku ya tatu atafufuka.

Ndipo mama yao wana wa Zebedayo akamwendea pamoja na wanawe, akamsujudia, na kumwomba neno. Akamwambia, Wataka nini? Akamwambia, agiza kwamba hawa wanangu wawili waketi mmoja mkono wako wa kuume, na mmoja mkono wako wa kushoto, katika ufalme wako. Yesu akajibu akasema, Hamjui mnaloliomba. Je! Mwaweza kunywea kikombe nitakachonywea mimi? Wakamwambia, Twaweza. Akawaambia, Hakika mtakinywa kikombe change; lakini kuketi mkono wangu wa kuume na mkono wangu wa kushoto, sina amri kuwapa, bali watapewa waliowekewa tayari na Baba yangu.

Na wale kumi waliposikia, waliwakasirikia wale ndugu wawili. Lakini Yesu akawaita, akasema, Mwajua ya kuwa wakuu wa Mataifa huwatawala kwa nguvu, na wakubwa wao huwatumikisha. Lakini haitakuwa hivyo kwenu; bali mtu yeyote anayetaka kuwa mkubwa kwenu, na awe mtumishi wenu; na mtu yeyote anayetaka kuwa wa kwanza kwenu na awe mtumwa wenu; kama vile Mwana wa Adamu asivyokuja kutumikiwa, bali kutumikia na kutoa nafsi yake iwe fidia ya wengi.

Neno la Bwana… Sifa kwako Ee Kristo.
[3/7/2023, 23:06] Mathew Maria: *β€œKWARESIMA YA UKARIMU”*

*Tafakari ya Kwaresima*

*Jumatano, Machi 8, 2023*

*Juma la 2 la Kwaresima*

Yer 18:18-20;
Zab 31:5-6,14-16;
Mt 20:17-28.


*JE, TWAWEZA KUKINYWEA KIKOMBE CHA YESU?*


Ni rahisi kuwa na nia nzuri, lakini hiyo inatosha? Mama mpendwa anamwambia Yesu aagize kwamba wanawe, mmoja aketi upande wake wa kulia na mwingine upande wa kushoto katika Ufalme wake. Lakini, ni vizuri kutambua kwamba hakujua alichokuwa akiomba. Yesu alikuwa akienda Yerusalemu sehemu ambayo atapata utukufu wake kwa njia ya mateso msalabani. Ni katika hali hii Yesu anawauliza Yakobo na Yohane kama wanaweza kunywea kikombe hiki. Walikuwa wamealikwa na Yesu kutolea maisha yao kwa sadaka kwa ajili ya upendo kwa wengine. Walipaswa kuacha woga wote na kusema β€œNDIO” kwa misalaba yao wakati wakumtumikia Kristo na utume wake.

Kumfuata Yesu sio kitu ambacho tunapaswa kufuata nusu nusu. Kama tunataka kuwa wafuasi wa kweli wa Yesu, tunapaswa kukinywea kikombe cha damu yake takatifu ndani kabisa katika mioyo yetu na kujazwa na zawadi ili tuweze kujitoa wenyewe hata kufikia kiwango cha kujitoa kabisa sadaka. Tunapaswa kuwa tayari kutokuwa na kitu au kushikilia vitu, hata kama ikiwa ni sadaka kubwa. Tunaitwa wote kuwa wafiadini wa kiroho.
Hii ina maana kwamba tunapaswa kujikabidhi wenyewe kwa Kristo na mapenzi yake na hii ina maana kwamba tutakuwa tumekufa wenyewe kutoka katika ubinafsi wetu.

β€œJe, twaweza kukinywea kikombe ambacho Yesu alikinywea?” je, upendo wako kwa Mungu na jirani waweza kuwa mkamilifu kiasi kwamba unakuwa mfiadini katika maana halisi ya neno lenyewe? Jitambue na sema β€œNdio” na kunywa katika kikombe cha damu yake Takatifu na kila siku toa maisha yako kwa sadaka kamili. Unastahili na unaweza!

Sala: Bwana, ninaomba upendo wangu kwako na kwa wengine uongezeke kiasi kwamba sishikilii kitu kingine nyuma yangu. Ninakuomba zawadi ya damu yako Takatifu iwe nguvu katika safari hii ili niweze kuiga sadaka yako kamili ya upendo. Yesu nakumini wewe. Amina

https://whatsapp.com/channel/0029Va9CVfSJ3jv2m4V0zB2R/287
⚽ TODAY'S MATCHES FIXTURES & LIVESTREAMS

πŸ’’Tazama mechi za leo live kupitia simu yako bure kabisa popote ulipo
πŸ‘‡πŸ»
https://channelsstore.blogspot.com/search

πŸ”—Ungana nasi whatsapp hapa πŸ‘‡πŸ»
https://chat.whatsapp.com/KmBJOOJnt9EHEvX5h05os7
πŸŽ₯TAMTHILIA SWAHILI ZA AZAM NA DSTV KILA SIKU

Karibu katika group letu ujipatie tamthilia zote oamoja na miendelezo yake kila siku kupitia whatsapp, jiunge nasi hapa

πŸ‘‡πŸ»
https://chat.whatsapp.com/FHZcWZbSNfAAT2wcRpteyE
πŸŽ₯TAMTHILIA SWAHILI ZA AZAM NA DSTV KILA SIKU

Karibu katika group letu ujipatie tamthilia zote oamoja na miendelezo yake kila siku kupitia whatsapp, jiunge nasi hapa

πŸ‘‡πŸ»
https://chat.whatsapp.com/FHZcWZbSNfAAT2wcRpteyE
πŸŽ₯TAMTHILIA SWAHILI ZA AZAM NA DSTV KILA SIKU

Karibu katika group letu ujipatie tamthilia zote oamoja na miendelezo yake kila siku kupitia whatsapp, jiunge nasi hapa

πŸ‘‡πŸ»
https://chat.whatsapp.com/FHZcWZbSNfAAT2wcRpteyE
Huu hapa ndio msimamo wa ligi kuu Baada ya watu kuombewa na kupokea upako
πŸ‘‡πŸ»

Streams zote michezo ya Ulaya utazikuta hapa

https://bit.ly/msimamoligikuu