🇹🇿Habari,
Naitwa Wilson Bruno Mbifile,ni mwanafunzi wa shahada ya uuguzi toka chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), nafanya utafiti unaohusu kutathmini Uelewa, Mtazamo na Mazoea ya Matumizi ya Kofia ngumu (Helmeti) kama njia ya kuzuia kupata jeraha la kiwewe cha ubongo (Traumatic Brain Injury) miongoni mwa Abiria wa Pikipiki Tanzania.
Tafadhali naomba ushiriki wako kwa kujaza dodoso lililopo katika link hii
👇🏻
https://ee.kobotoolbox.org/x/NGokB0JH
🔴 Tafadhali naomba nisaidie kushea ujumbe huu kwa watu wengine

ee.kobotoolbox.org
Enketo Express for KoboToolbox
MASOMO YA MISA JUNI 16, 2023; IJUMAA: JUMA LA 10 LA MWAKA | https://nyimbokatolik.blogspot.com/2023/06/masomo-ya-misa-juni-16-2023-ijumaa-juma.html
NYIMBO KATOLIKI
MASOMO YA MISA JUNI 16, 2023; IJUMAA: JUMA LA 10 LA MWAKA
Search catholic songs here
Chakula cha uzima by St Benedict YCS Choir | https://nyimbokatolik.blogspot.com/2022/05/chakula-cha-uzima-by-st-benedict-ycs.html
NYIMBO KATOLIKI
Chakula cha uzima by St Benedict YCS Choir

New song || Nimewalisha kwa unono by Chang'ombe Catholic Singers | https://nyimbokatolik.blogspot.com/2022/01/new-song-nimewalisha-kwa-unknown-by.html
NYIMBO KATOLIKI
New song || Nimewalisha kwa unono by Chang'ombe Catholic Singers
Search catholic songs here
MASOMO YA MISA, JUNI 20, 2023 JUMANNE, JUMA LA 11 LA MWAKA | https://nyimbokatolik.blogspot.com/2023/06/masomo-ya-misa-juni-20-2023-jumanne.html
NYIMBO KATOLIKI
MASOMO YA MISA, JUNI 20, 2023 JUMANNE, JUMA LA 11 LA MWAKA
Search catholic songs here
BREAKING NEWS|| MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2023
https://nyimbokatolik.blogspot.com/2023/07/breaking-news-matokeo-ya-mtihani-wa.html
🔴MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2023
🔴MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (DSEE) 2023
🔴MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (GATCE) 2023
🔴MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (GATSCCE) 2023
⭕ Sharing is caring...

Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/JjbllNbae908kTn2tnfxhW
🦁sharing is caring...!!
🦁sharing is caring...!!
WhatsApp.com
Simba SC Fans 🦁
WhatsApp Group Invite
Karibuni katika channel ya nyimbo katoliki kupitia kiungo hiki👇
https://whatsapp.com/channel/0029Va9CVfSJ3jv2m4V0zB2R/102
https://whatsapp.com/channel/0029Va9CVfSJ3jv2m4V0zB2R/102
WhatsApp.com
Nyimbo Katoliki
WhatsApp Channel Invite
MASOMO YA MISA NOVEMBA 9, 2023; ALHAMISI: JUMA LA 31 LA MWAKA
KUTABARUKIWA BASILIKA LA LATERANI
Sikukuu
Nyeupe
Zaburi: Tazama sala ya siku
SOMO 1: Eze 43:1-2, 4-7
Malaika alinileta mpaka langoni, yaani, lango lile lielekealo upande wa mashariki; na tazama, huo utukufu wa Mungu wa Israeli ulitokea kwa njia ya mashariki; na sauti yake ilikuwa kama mshindo wa maji mengi, nayo nchi iling’aa kwa utukufu wake. Na huo utukufu wa Bwana ukaingia ndani ya nyumba, kwa njia ya lango lile lielekealo upande wa mashariki. Kisha Roho ikaniinua, ikanichukua mpaka ua wa ndani; na tazama, utukufu wa Bwana uliijaza nyumba. Nikasikia sauti ya mmoja asemaye nami, itokayo katika nyumba hiyo; na mtu akasimama karibu nami. Akaniambia, Mwanadamu, hapa ni mahali pa kiti changu cha enzi, na mahali pa nyayo za miguu yangu, nitakapokaa kati ya wana wa Israeli milele.
WIMBO WA KATIKATI: Zab. 122: 1-5, 7-8
Nalifurahi waliponiambia,
Na twende nyumbani kwa Bwana.
Miguu yetu imesimama
Ndani ya malango yako, Ee Yerusalemu.
(K) Nalifurahi waliponiambia, na twende nyumbani kwa Bwana.
Ee Yerusalemu uliyejengwa
Kama mji ulioshikamana,
Huko ndiko walikopanda kabila,
Kabila za Bwana. (K)
Ushuhuda kwa Israeli,
Walishukuru jina la Bwana.
Maana huko viliwekwa viti vya hukumu,
Viti vya enzi vya mbari ya Daudi. (K)
Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu
Niseme sasa, Amani ikae nawe.
Kwa ajili ya nyumba ya Bwana, Mungu wetu,
Nikutafutie mema. (K)
SOMO 2: 1 Kor 3:9-13, 16-17
Ninyi ni jengo la Mungu. Kwa kadiri ya neema ya Mungu niliyopewa, mimi, kama mkuu wa wajenzi mwenye hekima, naliuweka msingi, na mtu mwingine anajenga juu yake. Lakini kila mtu na aangalie jinsi anavyojenga juu yake. Maana msingi mwingine hakuna mtu awezaye kuuweka, isipokuwa ni ule uliokwisha kuwekwa, yaani, Yesu Kristo. Lakini kama mtu akijenga juu ya msingi huo, dhahabu au fedha au mawe ya thamani, au miti au majani au manyasi, kazi ya kila mtu itakuwa dhahiri. Maana siku ile itaidhihirisha, kwa kuwa yafunuliwa katika moto; na ule moto wenyewe utaijaribu kazi ya kila mtu, ni ya namna gani. Hamjui ya kuwa ninyi mmekuwa hekalu la Mungu, na ya kuwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu? Kama mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi.
INJILI: Yn 2:13-22
Pasaka ya Wayahudi ilikuwa karibu; naye Yesu alikwea mpaka Yerusalemu. Akaona pale hekaluni watu waliokuwa wakiuza ng’ombe na kondoo na njiwa, na wenye kuvunja fedha wameketi. Akafanya kikoto cha kambaa, akawatoa wote katika hekalu, na kondoo na ng’ombe; akamwaga fedha za wenye kuvunja fedha, akazipindua meza zao; akawaambia wale waliokuwa wakiuza njiwa, Yaondoeni haya; msiifanye nyumba ya Baba yangu kuwa nyumba ya biashara. Wanafunzi wake wakakumbuka ya kuwa imeandikwa, Wivu wa nyumba yako utanila. Basi Wayahudi wakajibu, wakamwambia, Ni ishara gani utuoneshayo, kwamba unafanya haya? Yesu akajibu, akawaambia, Livunjeni hekalu hili, nami katika siku tatu nitalisimamisha. Basi Wayahudi wakasema, Hekalu hili lilijengwa katika muda wa miaka arobaini na sita, nawe utalisimamisha katika siku tatu? Lakini yeye alinena habari za hekalu la mwili wake. Basi alipofufuka katika wafu, wanafunzi wake wakakumbuka ya kuwa alisema hivi, wakaliamini lile andiko na lile neno alilolinena Yesu.
TAFAKARI:
KANISA LINAPASWA KUHESHIMIWA: Leo Kanisa linakumbuka kwa heshima kutabarukiwa Basilika la Laterani. Huenda baadhi yetu tumeshashuhudia jinsi makanisa yanavyobarikiwa na mengine, Altare kuwekwa wakfu. Hili huwa ni tukio zito na linalofanyika kiibada. Yote haya ni kuonyesha umuhimu na uzito wa sehemu yenyewe kuwa ni tofauti kabisa na majengo mengine kama kumbi za sherehe au mikutano na hivi kututaka tupaheshimu daima. Ndio maana Yesu alipoona watu wametumia sivyo lile hekalu, tunaelezwa aliwafukuza. Hilo lilimkera na kumghadhibisha. Paulo katika somo la pili ametukumbusha kuwa miili yetu ni hekalu la Mungu, tusiiharibu. Ulimwengu wa leo unawasifu wanaoichezea miili yao, na hata wanataka kuyabadili maumbile, zikiwemo jinsia. Mume anataka ajigeuze awe mke na vivyo hivyo kwa mwanamke.

Huko ni kumkebehi Mungu, kumkasirisha na kumfanya atamani kutufukuza na kututoa nje kwa hasira. Tujue miili yetu imebeba sura na mfano wa Mungu.
SALA: Bikira Maria Mama wa Kanisa, tuombee neema ya kuwa na heshima kwa Kanisa na kutunza miili yetu.Amina.
https://whatsapp.com/channel/0029Va9CVfSJ3jv2m4V0zB2R/120
SALA: Bikira Maria Mama wa Kanisa, tuombee neema ya kuwa na heshima kwa Kanisa na kutunza miili yetu.Amina.
https://whatsapp.com/channel/0029Va9CVfSJ3jv2m4V0zB2R/120
WhatsApp.com
Nyimbo Katoliki
WhatsApp Channel Invite
*KARIBUNI TUSALI SALA YA MALAIKA WA BWANA*
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
*Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu*.💍💍💒🌹💐...🔔⛪
*MALAIKA WA BWANA*🔔⛪
*Malaika wa Bwana alimpasha habari Maria.*
*Naye akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.*
*Salamu, Maria,.....*
*Ndimi mtumishi wa Bwana.*
*Nitendewe ulivyonena.*
*Salamu, Maria....*
*Neno wa Mungu akatwaa mwili.*
*Akakaa kwetu.*
*Salamu, Maria....*
*Utuombee, Mzazi mtakatifu wa Mungu.*
*Tujaliwe ahadi za Kristu.*
*Tuombe*
*Tunakuomba, Ee Bwana, utie neema yako mioyon mwetu, ili sisi tuliojua kwa maelezo ya Malaika kwamba Mwanao amejifanya mtu kwa mateso na msalaba wake tufikishwe kwa utukufu wa ufufuko. Tunaomba hayo kwa njia ya Kristu Bwana wetu. AMINA..*
*ATUKUZWE (mara tatu)*
*Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu. Kama mwanzo na sasa na siku zote na milele. Amina.*
*Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu.*
https://whatsapp.com/channel/0029Va9CVfSJ3jv2m4V0zB2R/121

*MASOMO YA MISA NOVEMBA 10, 2023*
*IJUMAA, JUMA LA 31 LA MWAKA*
KUMBUKUMBU YA MT. LEO MKUU (PAPA NA MWALIMU WA KANISA)
_____
SOMO 1
Rum. 15:14-21
Ndugu zangu, nimehakikishwa mimi mwenyewe kwa habari zenu ya kuwa ninyi nanyi mmejaa wema, mmejazwa elimu yote, tena mwaweza kuonyana. Lakini nawaandikia, kwa ujasiri zaidi katika sehemu za waraka huu, kana kwamba ninawakumbusha,, kwa neema ile niliyopewa na Mungu, ili niwe mhudumu wa Kristo Yesu kati ya watu wa Mataifa, niifanyie Injili ya Mungu kazi ya ukuhani, kusudi Mataifa wawe sadaka yenye kibali, ikiisha kutakaswa na Roho Mtakatifu.
Basi, nina sababu ya kuona fahari katika Kristo Yesu Mbele za Mungu. Maana sitathubutu kutaja neno asilolitenda Kristo kwa kazi yangu, Mataifa wapate kutii, kwa neno au kwa tendo, kwa nguvu za ishara na maajabu, katika nguvu za Roho Mtakatifu; hata ikawa tangu Yerusalemu, na kando yake, mpaka Iliriko nimekwisha kuihubiri Injili ya Kristo kwa utimilifu; kadhalika nikijitahidi kuihubiri Injili, nisihubiri hapo ambapo jina la Kristo limekwisha kutajwa, nisije nikajenga juu ya msingi wa mtu mwingine; bali kama ilivyoandikwa, Wale wasiohubiriwa habari zake wataona, Na wale wasiojasikia watafahamu.
Neno la Bwana… Tumshukuru Mungu.
_____
WIMBO WA KATIKATI
Zab. 98:1-4 (K) 2
(K) Bwana ameufunua wokovu wake.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Mkono wa kuume wake mwenyewe,
Mkono wake mtakatifu umemtenda wokovu. (K)
Bwana ameufunua wokovu wake,
Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Amezikumbuka rehema zake,
Na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli. (K)
Miisho yote ya dunia imeuona,
Wokovu wa Mungu wetu.
Mshangilieni Bwana, nchi yote,
Inueni sauti, imbeni kwa furaha, imbeni zaburi. (K)
_____
SHANGILIO
Yn. 14:5
Aleluya, aleluya,
Bwana anasema, mimi ndimi njia, na ukweli, na uzima, mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Aleluya.
_____
INJILI
Lk. 16:1-8
Yesu aliwaambia wanafunzi wake: Palikuwa na mtu mmoja, tajiri, aliyekuwa na wakili wake; huyu alishitakiwa kwake kuwa anatapanya mali zake. Akamwita, akamwambia, Ni habari gani hii ninayosikia juu yako? Toa hesabu ya uwakili wako, kwa kuwa huwezi kuwa wakili tena. Yule wakili akasema moyoni mwake, Nifanyeje? Maana, bwana wangu ananiondolea uwakili. Kulima, siwezi; kuomba, naona haya. Najua nitakalotenda, ili nitakapotolewa katika uwakili, wanikaribishe nyumbani mwao.
Akawaita wadeni wa bwana wake, kila mmoja; akamwambia wa kwanza, Wawiwani na bwana wangu? Akasema, Vipimo mia vya mafuta. Akamwambia, Twaa hati yako, keti upesi, andika hamsini. Kisha akamwambia mwingine, Na wewe wawiwani? Akasema, Makanda mia ya ngano. Akamwambia, Twaa hati yako, andika themanini.
Yule bwana akamsifu wakili dhalimu kwa vile alivyotenda kwa busara; kwa kuwa wana wa ulimwengu huu katika kizazi chao wenyewe huwa na busara kuliko wana wa nuru.
Neno la Bwana… Sifa kwako Ee Kristu.
_____
https://whatsapp.com/channel/0029Va9CVfSJ3jv2m4V0zB2R/125

MASOMO YA MISA NOVEMBA 15, 2023
JUMATANO, JUMA LA 32 LA MWAKA
SOMO 1
Hek. 6:1-11
Enyi wafalme, sikilizeni; enyi waamuzi wa miisho ya dunia jifunzeni; sikieni ninyi mtawalao watu wengi, na kujisifia umati wa mataifa. Kwa maana mlipewa falme zenu na Bwana, na milki zenu na Aliye juu, ambaye atazichunguza kazi zenu, na kuyahojihoji mashauri yenu.
Kwa sababu, kisha kuwa wakuu wa ufalme wake, hamhukumu kwa adili, wala kuishika torati, wala kulifuata shauri la Mungu. Yeye atawajia ghafula kwa kitisho, madhali hukumu bila huruma huwaangukia wenye cheo; mradi mtu mnyonge aweza kusamehewa katika rehema, bali wakuu watadumhushiwa hasa. Kwa kuwa Bwana, Mfalme wa wote, hatajizuia kwa ajili ya mtu yeyote, wala hajali ukuu, kwa sababu ndiye Yeye aliyewafanya wadogo na wakuu pia. Naye huwazingatia watu wote pasipo upendeleo, walakini uchunguzi ulio halisi huwajilia wenye uwezo.
Kwa hiyo, enyi wafalme, nawaambia ninyi maneno yangu, ili mjifunze hekima, msije mkapotea njiani. Maana wale waliotunza kwa utakatifu mambo yale yaliyo matakatifu watahesabiwa kuwa watakatifu wenyewe; nao wale waliofundishwa hayo wataona neno la kujitetea. Basi fanyeni shauku ya maneno yangu; yatafuteni, na kwa malezi yake mtapata adabu.
Neno la Bwana… Tumshukuru Mungu.
WIMBO WA KATIKATI
Zab. 82:3-4,6-7 (K) 8
(K) Ee Mungu, usimame, uihukumu nchi.
Mfanyieni hukumu maskini na yatima;
Mtendeeni haki aliyeonewa na fukara;
Mwokoeni maskini na mhitaji;
Mwopoeni mikoni mwa wadhalimu. (K)
Mimi nimesema, ndinyi miungu,
Na wana wa Aliye juu, nyote pia.
Lakini mtakufa kama wanadamu,
Mtaanguka kama mmoja wa wakuu. (K)
SHANGILIO
Zab. 119:34
Aleluya, aleluya,
Unifahamishe nami nitaishika sheria yako, nitaitii kwa moyo wangu wote.
Aleluya.
INJILI
Lk. 17:11-19
Ikawa walipokuwa njiani kwenda Yerusalemu, Yesu alikuwa akipita katikati ya Samaria na Galilaya. Na alipoingia katika kijiji kimoja, alikutana na watu kumi wenye ukoma; wakasimama mbali, wakapaza sauti wakisema, Ee Yesu, Bwana mkubwa, uturehemu! Alipowaona aliwaambia, Enendeni, mkajioneshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika.
Na mmoja wao alipoona kwamba amepona, alirudi, huku akimtukuza Mungu kwa sauti kuu; akaanguka kifudifudi miguuni pake, akamshukuru; naye alikuwa Msamaria. Yesu akajibu, akanena, Hawakutakaswa wote kumi? Wale kenda wa wapi? Je! Hawakuonekana waliorudi kumpa Mungu utukufu ila mgeni huyu? Akamwambia, Inuka, enenda zako, Imani yako imekuokoa.
Neno la Bwana… Sifa kwako Ee Kristo.
https://whatsapp.com/channel/0029Va9CVfSJ3jv2m4V0zB2R

Nyimbo Katoliki | WhatsApp Channel
Nyimbo Katoliki WhatsApp Channel. Karibuni tupate nyimbo mpya za kikatoliki nyimbo nyingine zinapatikana pia katika tovuti yetu katika link hapa chini
https://nyimbokatolik.blogspot.com/?m=1. 79 followers

MASOMO YA MISA NOVEMBA 17, 2023
IJUMAA, JUMA LA 32 LA MWAKA
Kumbukumbu ya Mt. Elizabeth wa Hungaria, Mtawa
SOMO 1
Hek. 13:1-9
Bila shaka wanadamu wote kwa asili ni ubatili, ambao hawana akili za kumtambua Mungu; tena hawakupata uwezo wa kumjua Yeye aliopo kwa kuvitazama viumbe vizuri vinavyoonekana, wala kwa kuyaangalia yaliyofanywa hawakufahamu yule Fundi aliyeyafanya. Walakini moto, ama upepo, ama hewa nyepesi, ama mzunguko wa nyota, ama mafuriko ya maji, ama mianga ya mbinguni, walidhania kuwa ni miungu inayoutawala ulimwengu!
Huenda ilikuwa kwa kupendezwa na uzuri wake walivyodhania viumbe hivyo kuwa ni miungu, basin a wajue kadiri gani Bwana, Mfalme wao, avipatavyo; kwa maana Yeye aliye asili ya uzuri ndiye aliyeviumba.
Lakini kama ilikuwa kwa kuzistaajabia nguvu zake na maongozi yake, na wafahamu kwa kuviangalia kadiri gani Yeye aliyeviumba anayo nguvu zaidi; maana kwa jinsi uzuri hata wa viumbe vilivyoumbwa ulivyo mkuu, kwa kadiri iyo hiyo mwanadamu huyatunga mawazo yake juu ya Muumba.
Walakini watu hao hawana hatia nyingi. Madhali yawezekana kwamba hao wamekosea tu, pindi wanapomtafuta Mungu, na kutamani kumwona; kwa sababu huishi katikati ya viumbe vyake, huvichunguza kwa bidi, na mwisho hujitoa kwa maono yao, mradi vitu vyenyewe wanavyovitazama ni vizuri kweli kweli.
Walakini tena watu hao hawana udhuru. Kwa maana wakiwa walikuwa na uwezo wa kufahamu kadiri hiyo, hata kuweza kuchungulia taratibu ya viumbe, imekuwaje ya kwamba hawakudiriki upesi kutambua Mfalme Mkuu wa viumbe hivyo vyake?
Neno la Bwana… Tumshukuru Mungu.
WIMBO WA KATIKATI
Zab. 19:1-4
(K) Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu,
Na anga laitangaza kazi ya mikono yake.
Mchana husemezana na mchana,
Usiku hutolea usiku maaarifa.
(K) Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu.
Hakuna lugha wala maneno,
Sauti yao haisikilikani.
Sauti yao imeenea duniani mwote,
Na maneno yao hata miisho ya ulimwengu.
(K) Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu.
SHANGILIO
Zab. 111:7,8
Aleluya, aleluya,
Maagizo yako yote, Ee Bwana, ni amini,
yamethibitika milele na milele.
Aleluya.
INJILI
Lk. 17:26-37
Yesu aliwaambia wanafunzi wake: Na kama ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo itakavyokuwa katika siku zake Mwana wa Adamu. Walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakioa na kuolewa, hata siku ile Nuhu aliyoingia katika safina, gharika ikashuka ikawaangamiza wote. Na kadhalika, kama ilivyokuwa katika siku za Lutu, walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakinunua na kuuza, wakipanda na kujenga; lakini siku ile Lutu aliyotoka Sodoma kulikunya moto na kibiriti kutoka mbinguni vikawaangamiza wote. Hivyo ndivyo itakavyokuwa siku ile atakayofunuliwa Mwana wa Adamu.
Katika siku ile, aliye juu ya dari, na vyombo vyake vimo ndani ya nyumba, asishuke ili kuvitwaa; na kadhalika, aliye shambani asirejee nyuma. Mkumbukeni mkewe Lutu. Mtu yeyote atakaye kuiponya nafsi yake, ataiangamiza; na yeyote atakayeiangamiza ataiponya. Nawaambia, usiku huo watu wawili watakuwa katika kitanda kimoja; mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa. Wanawake wawili watakuwa wakisaga pamoja; mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa.
Wakajibu, wakamwuliza, Wapi, Bwana? Akawaambia. Ulipo mzoga, ndipo watakapokutanika tai.

BREAKING NEWS || NECTA MATOKEO YA MTIHANI DARASA LA SABA 2023 | https://nyimbokatolik.blogspot.com/2023/11/breaking-news-matokeo-ya-mtihani-darasa.html
⭕ sharing is caring
⭕ sharing is caring
NYIMBO KATOLIKI
BREAKING NEWS || NECTA MATOKEO YA MTIHANI DARASA LA SABA 2023
Search catholic songs here