CRYPTO CURRENCY
165 subscribers
907 photos
21 videos
3.12K files
637 links
Download Telegram
TUMALIZIE YA TATU Hybrid (Kompyuta-mseto)
3)Hybrid, kompyuta mseto…au chochote unachotaka kuuita, ni kompyuta unayoweza kuitumia kama laptop au  kama tableti ukitaka. Kompyuta hizi zenye touchscreen na keyboard za kuchomoa  zinatengenezwa kwa prosesa ya Intel Core.

Kuna aina mbili ya kompyuta hizi – Zile zinazoelekea upande wa laptopu zaidi (kama Lenovo IdeaPad Yoga 11s au Dell XPS 12) ambazo kimsingi ni Laptops zenye skrini ya kugeuzika ili kuzifanya kuwa kama tableti na zinazoelekea ki-tableti zaidi na huwa na keyboard za kuchomoa. (Kama Microsoft Surface).

Hybrid za ki-laptopu zaidi huwa na bei ya juu zaidi ya laptopu za kawaida. Touchscreens kwenye hizi laptopu huathiri uwezo wa betri, hasa kwa zile zisizotumia prosesa ya “Haswell”  au “Bay Trail” Atom. Hybrid zote ni kubwa na nene ukilinganisha na tableti ya kawaida, hasa zile zilizoelekea ki-laptopu zaidi kwa hiyo, hybrid zinafaa hasa zikipakatwa, hata kama unazitumia kama laptopu
.
Hatima:

Chromebook ni nzuri kwa mtu wa kawaida anayependelea zaidi kukaa mtandaoni na kutumia huduma na programu za mtandaoni. Ni kompyuta ambayo utapata kwa bei chee.

Laptopu za Windows, iwe ni Ultrabook au Hybrid, ni kwa kutumia mtandao na kutumia programu kedekede bila kuwa mtandaoni na kufanya kazi zako kwenye Microsoft Office, kuunganishwa na mitandao mahali pa kazi, kwa kutumia programu mbalimbali, kuhariri picha na video mtandaoni na bila mtandao, kuongea na rafiki yako aliopo Afrika ya Kusini au popote duniani kwa Skype, kuhifadhi CV yako kwa Cloud au kwenye diski yako na kushusha magemu kedekede kutoka mtandaoni, kama FIFA 14, Need For Speed Rivals, na mambo mengi uliyozoea kwenye kompyuta ya kawaida.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
JINSI YA KU-UNLOCK SIMU ZA SAMSUNG ZINAZOTUMIA MTANDAO MMOJA
Habari...

Technology Channel inapenda kuwajuza ni gani unaweza ku-unlock mtandao kwenye simu za Samsung zinazotumia mtandao mmoja kwa uharaka,kama Galaxy S6+,S5,S3,J7,J6,J5,J3.J2 Note 5,6 Pia na Simu zaidi ya 100 zinaweza ku-unlockiwa kwa urahisi kwa kutumia Software hii.
ZINGATIA

Software hii inatumika pia..

1) Ku flash simu za Samsung
2) Kuondoa frp kwenye simu za Samsung
3)Inauwezo ku-download Automatically Firmware ya simu husika kwa Kuflashia
4)Kurudisha imei zilizo corrupt kwenye simu husika
5)Kuondoa screen lock ya simu n.k
Ni kwaajiri ya Simu za Samsung pekee

PRICE CODE=5000/Tsh


UKIHITAJI CODE KWA BEI HIYO NJOO INBOX
@badland10
MUHIMU

1)Kuwa makini kwenye kila hatua.
2)Technology Channel hatutohusika kwa uzembe wowote ule na uharibifu wowote.
3)Tumia Software hii iliyochachuliwa cracked na kujaribiwa na Technology Channel.
4)Disable Anti virus wako kabla ya kuanza kufanya installation ya Software hiyo

MAHITAJI.

1) Simu ya Aina ya Samsung inayotumia Mtandao mmoja
2)Driver za Samsung
3) Software ya Zx3 iliyokuwa cracked
4) Hakikisha Simu yako imekuwa rooted kama bado tafuta juu somo LA kuroot
ili kufanikisha zoezi ili fuata hatua zifuatazo

HATUA

1)Download Software ya Zx3 samsung Pro iliyokuwa cracked,
DOWNLOAD HAPA

2) Download Driver za Samsung,
DOWNLOAD HAPA

3)Extract Software hizo zote mbili ulizozidownload hapo juu kisha install zote

4)Fungua icon ya Zx3 Samsung Pro kwenye Desktop yako kisha Run as Admin.

4)Nenda kwenye Settings=>About phone=>Build number kisha triple click ilo neno mpaka unonapo ujumbe huu "You are Now Developer"

5)Rudi nyuma kwenye Settings ya Simu yako kisha nenda kwenye Developer Option=>Usb debugging na uweke alama ya tick hapo.

6)Chomeka simu yako kwenye Computer ukiwa umeiwasha

7) Chagua model ya Simu yako unayohitaji kui-unlock Network kisha nenda kwenye UNLOCK

8)Kisha bonyeza kwenye COM utaiyona simu yako hapo ime-detect ibonyeza.

9)Nenda kwenye sehemu iliyoandikwa UNLOCK mkono wa kulia na ubonyeze hapo

10)Subiria Kama dakika 5 mpaka itakapokwambia UNLOCK DONE

Mpaka hapo utakuwa umefanikisha ku-unlock Mtandao kwenye simu yako
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KUNA TATIZO KIDOGO KWENYE CHANNEL HII COZ CREATOR WA CHANNEL ALIDELETE ACCCOUNT AKANIACHIA UADMIN KWA HIYO KUNA VITU VINGINE NASHINDWA KUVIFANYA

SO NIMEFIKIRIA NIMEAMUA KUIHAMISHA CHANNEL HII NA KUUNDA CHANNEL NYINGINE

POST ZOTE NITAZIHAMISHIA KULE NA HIVYO ITAKUWA KAMA HII NA MAPINDI MENGINE NITAKUWA NAYATOLEA KULE

UKIWA KAMA MEMBER WA HUMU INABIDI UJIUNGE NA CHANNEL MPYA ILI UPATE TRICK MPYA ZA MULE ILA HUMU MSILEFT KWANZA MPK SIKU NITAKAYOWAAMBIA

KUJIUNGA BONYEZA LINK HIYO CHINI
Kwa mahitaji ya
*GRAPHICS DESIGNING*
(business & ID cards, logo, posters, flyers, brochures, banners, calendars, letterhead n.k)
*_NICHEKI INBOX_*
The latest mod of the GBwhatsapp. Update your app.
SOON SOMO JIPYA LINAANZA KWENYE CHANNEL MPYA JIUNGENI HUMO


Jinsi gani unaweza ku-unlock mtandao kwenye simu za Huawei,Htc,Blackberry,Xperia,ALcatel,LG, Zte zinazotumia mtandao mmoja kwa uharaka,kama Huawei.